Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU...Leo tunaye VIN DIESEL;

Mark Sinclair Vicent ndio jina halisi Vin Diesel,alizaliwa 18,Julai1967..New york city
Ana mtoto wa kike anaitwa Pauline
Movies alizoigiza Diesel ni *Awakenings:-1990 **Multifacial:-1994 **strays:-1997 **saving private Ryan:-1998 **The iron giant:-1999- kaweka sauti **Boiler room:-2000 **The Fast and the Furios:-2001 **xXx:-2002 **Dark fury:-2004 **The pacifer:-2005 **Find me guilty:-2006 **Fast five:-2011 **Fast & Furious 6:-2013 **Riddick:-2013 **Fast & Furious 7:-2015
**Last witch hunter -2015;
....Movie zinazo tarajiwa kutoka ni Fast & Furious 8 ambayo itatoka April 14,2017 na xXx nayo itatoka 2017 ..Gari anayoipenda ni Dodge charger upo katika fast & furious
Tunzo alizopata;- 1-Online film critics society award-(1999)-movie;Saving private Ryan ..2-MTV movie awards-(2002)-movie;The fast and the furious ..3-spike video game award-2004-movie;The chronicles of Riddick ..4-Video software dealer association award-2005-movie;The chronicles of Riddick ..5-Cinemacon award-2011-movie-Fast five ..6-MTV movie award 2014-movie-fast & furious 6 ..7-Teen choice award-2015-movie furious 7< Rafiki yake katika movie na maisha ya kawaida alikuwa hayati Paul Walker

Maoni