Christopher Maurice Brown, amezaliwa May 5,1989 uko Tappahannack,Virginia,US
Kazi za Chris brown ni singer,songwriter, rapper,dancer & actor
Katika upande wa mahusiano ya kimapenzi,Chris brown alikuwa na urafiki na Rihanna mwaka 2005,kabla ya kuingia katika uhusiano wa kimapenzi mwaka 2008,ila mapenzi yao hayakudumu sana, maana walikuja kuachana tena mwaka 2009,Hiyo ikampa ruhusa Chris brown kuingia katika mahusiano mapya na mwanamitindo Karrueche Tran, mnamo mwaka 2011 ...lakin Chris alikuja kurudiana tena na Rihanna mnamo mwaka 2013, baada ya kumuacha mwanamitindo Karrueche October 2012,...ila penzi la Chris na Rihanna alikudumu tena kwani walikuja kuacha tena May 2013...March 2015 kulikuwa na uvumi ulioenea kuwa Chris ana mtoto wa kike aliyeitwa Royalty..na Chris alithibisha kuwa ni kweli Royalty ni mtoto wake.
Albums za Chris brown ni;-
*Chris Brown;(2005)...
*Exclusive;(2007)....
*Graffiti;(2009)....
*FAME;(2011)....
*Fortune;(2012)....
*X;(2014)...
*Fan of a Fan;The Album (with Tyga);(2015)
*Royalty;(2015).
Chris brown ameshinda tunzo mbali mbali kama, tunzo 5 za BET awards mwaka 2011,pia amewahi kushinda tunzo 3 za BET Hip Hop Awards na ameshawahi shinda tunzo ya Grammy Award kwa Best R&B Album
Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...







Maoni
Chapisha Maoni