Taraji Penda Henson,amezaliwa september 11,1970.uko washington,DC,US
Taraji ni muigiza na mwimbaji,kwa upende wa elimu ana bachelor of fine arts..Alipata ujauzito akiwa katika chuo na kujifungua mtoto wa kiume,anayeitwa Marcell Johnson..baba wa mtoto huyo,alikuwa ni mwanafunzi mwenzeka aliye fahamika kwa jina la William Lamar Johnson,ila aliuwawa mnamo mwaka 2003
Taraji p.Henson amewahi kushinda tunzo kubwa ya Golden globe Awards kutokana na Television series drama ya Empire
Hiyo tunzo imemfanya kuwa black american/Africa American wa tatu kupata tunzo hio,baada ya Garlfisher aliyepata hio tunzo mwaka 1972 na Regina Taylor mwaka 1992..
Filamu/movies ambazo ameigiza Taraji P.Henson ni;-
*The adventure of Rock and Bullwinkle;(2000)...
*Satan's school for Girls;(2000)...
*Baby boy;(2001)...
*Book of Love;The Definitive Reason Why Men are Dogs;(2002)...
*Hair show;(2004)...
*Hustle & Flow;(2005)...
*Four Brothers;(2005)...
*Animal;(2005)...
*Something New;(2006)...
*Smokin' Aces;(2007)...
*Talk to me;(2007)...
*The Family that preys;(2008)...
*The curious case of Benjamin Button;(2008)...
*Not Easily Broken;(2009)...
*Hurricane season;(2009)...
*I can Do Bad All By Myself;(2009)...
*Date Night;(2010)...
*The Karate Kid;(2010)...
*Peep world;(2010)...
*Once Fallen;(2010)...
*The Good Doctor;(2011)..
*Taken from me;The Tiffany Rubin story;(2011)...
*Larry crowne;(2011)...
*Laugh at My pain;(2011)...
*From the Rough;(2011)....
*Think Like a Man;(2012)...
*Madly Madagascar;(2013)...
*No good Deed;(2014)...
*Top five;(2014)...
Na television series Empire,ambayo amecheza kama Cookie Lyon.
Tunzo alizowahi kupata Taraji P.Henson ni;-
Best Actress-BET awards;(2005)-film ya Hustle & Flow....
Best supporting actress-Black Movie Awards;(2005)-Hustle & Flow....
Best supporting Actress-Austin Film Critics Association;(2008)-film ya The curious case of Benjamin Button....
Best Actress-Outstanding supporting actress in a Motion Picture-NAACP Image Awards;(2008)...Best Actress-BET Awards;(2011)-kwa film ya Taken from Me....
Outstanding Actress in a Television Movie,Miniseries or Dramatic special-NAACP Image Awards;(2011)....
Best Actress;Tv Movie/Cable-Black Reel Awards;(2011)....
Entartainer of the year-NAACP Image Awards;(2015)-kwa film ya No good Deed....
Outstanding Actress in a Motion picture-NAACP Image awards;(2015)
Na pia kupitia series ya Empire amepata tunzo hizi;-
Best Actress-BET Awards;(2015)...
Best Actress in a Drama series-Critics Choice Television Awards;(2015)....
Best Actress,Television series Drama-Golden Globe Awards;(2016)
Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...







Maoni
Chapisha Maoni