Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAJUE WATU MAARUFU DUNIANI KATIKA TASNIA YA MUZIKI..leo tunaye JAY Z

Shawn Corey Carter ndio jina halisi la JAY Z,amezaliwa December 4,1969.Brooklyn,New york,US
Jay Z,ni rapper,record producer & enterpreneur investor.ni mmjawapo wa wasanii wa hip hop waliona mafanikio makubwa kiuchumi
Mwaka 2014 Forbes ilikadria utajiri wa Jay z kuwa ni $520 million ..Jay Z ni mmoja wapo wa Best-selling artist wa mda wote,ameshauza zaidi ya million 100 records zake, pia kapewa tunzo 21 za grammy awards kwa kazi ya mziki anayoifanya ..Albums zake ni:- *Reasonable Doubt;-(1996) *In my lifetime,vol 1;-(1997) *Vol 3 life and times of s.carter;-(1999) *The Dynasty;Rec la Familia;-(2000) *The Blueprint;-(2001) *The Blueprint 2;The Gift & the curse;-(2002) *The Black album;-(2003) *Kingdom come;-(2006) *American gangster;-(2007) *The Blueprint 3;-(2009) *Magna carta Holy Grail;-(2013)
Jay Z amemuoa mwimbaji wa R&B Beyonce mwaka 2008
Jay Z na Beyonce wana mtoto wa kike,anaitwa Blue Ivy Carter alizaliwa january7,2012
Jay Z amshiriki katika hit song Crazy in love ya beyonce,na katika nyimbo hii That's how you like it,iliyopo katika album Dangerously in Love ya beyonce
Tunzo alizopata Jay Z,ni hizi;- *tunzo 3,za American music awards *tunzo 2,za Billboard music awards *tunzo 21,za grammy awards

Maoni