Shirt collar slimming checked sutures design long sleeve polyester shirt for men.
Colour block plaid pattern slimming turndown collar long sleeves men's shirt's
Slimming hooded single-breasted front pocket applique,design men's long sleeves hoodie
PU leather stand collar horizontal zipper epaulet rib spliced long sleeves mens slimming jacket
Slimming stand collar inclined top fly colour spliced flap pocket men's long sleeves peacoat.
Irregular hem colour spliced zipper design long sleeve slimming men's high collar knitting sweater.
Hooded colour block splicing assassin's creed long sleeve cosplay men's jacket.
Hrithik roshan,amezaliwa 10january,1974.uko Mumbai,Maharashtra,India. Hrithik roshan ni muigiza maarufu na mwenye mafanikio katika industry ya Bollywood,pia amewahi kupata tunzo 6 za Filmfare awards,Roshan ametajwa na media mbalimbali za India kuwa ndio muigizaji mwenye mvuto zaidi Baada ya kutoa filamu/movies nyingi ambazo hazikuvuma sana,Roshan aliamua kucheza movie ya science fiction,aliyoipa jina la Koi-Mil Gaya;-(2003) Na muendelezo wake,alitoa series iliyoipa jina la Krrish;-(2006) Nje ya kazi ya kuigiza,Roshan pia ni stage performer na playback singer,pia ameendorse bidhaa mbalimbali ,ikiwa ni pamoja na kuhost reality show inayoitwa Just dance, na pia amelaunch nguo zake/brand yake Hrithik roshan, amesoma shule ya Bombay scoottish,na baadaye kujiunga na chuo kilichoitwa Sydenham college,ambako alipata bachelor degree in commerce Roshan ana vidole sita,katika mkono wake wa kulia,ingawa mara nyingi kwenye movie nyingi zake huwa haonyeshi,ila vimeonekana katika movie ya Krris...
Maoni
Chapisha Maoni