Taylor Alison Swift,amezaliwa December 13,1989. Uko Reading,pennsylvania,U.S
Swift ni mwimbaji,mtunzi wa nyimbo & mwigizaji.pia anajulikana kwa utunzi wa nyimbo zenye masimulizi
Swift ni mmojawapo wa best-selling artist wa mda wote,Ameuza zaidi ya Album million ,pamoja na album million 27.1 alizoziuza US na zingine million 130 kwenye mitandao ya kudownload
Album zake ni Rhapsod originals;-(2007)...,iTunes live from soho;-(2008)...,Taylor swify;-(2006)...,Fearless;-(2006)...,speak now;-(2010)...,red;-(2012)...,1989;-(2014)
Concert tours za Taylor swift ni hizi..Fearless Tour;-(2009-10)..Speak Now world tour;-(2011-12)..the red tour;-(2013-14)..The 1989 world tour;-(2015)
Tunzo alizowahi kupata Taylor swift ni tunzo 7 za grammy awards..,tunzo 1 Emmy award..,tunzo 22 za Billboard Music awards..,tunzo 11 za country music association awards..,tunzo 8 za Academy of country Music awards na Tunzo 1 za Brit Award
Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...








Maoni
Chapisha Maoni