Abdul Rashid Salim Salman Khan,amezaliwa December 27,1965..uko Indore,Madhya pradesh,India.
Salman Khan ni actor,film producer,Television, personality, model, philanthropist & singer
Films au movies alizoigiza Salman Khan ni:-
*Maine Pyar Kiya;(1989)....
*Hum Aapke Hain Koun;(1994)....
*Andaz Apna Apna;(1994)....
*Karan Arjun;(1995)....
*Khamoshi:The Musical;(1996)....
*Hum Saath-Saath Hain;(1999)....
*Hum Dil De chuke sanam;(1999)....
*Chori Chori Chupke Chupke;(2001)....
*Tere Naam;(2003)....
*Wanted;(2009)....
*Dabangg;(2010)....
*Ready;(2011)....
*Bodyguard; (2011)
*Ek Tha Tiger;(2012)....
*Dabangg 2;(2012)....
*Kick;(2014)....
*Bajrangi Bhaijaan;(2015)....
*Prem Ratan Dhan Payo;(2015)..
September 2015,magazeti mbalimbali ya uko India yalimtaja Salman Khan,kama muigiza mwenye mvuto zaidi
Filamu tisa 9,kati ya filamu alizoigiza Salman Khan zimemuingizia kiasi cha USD 15 million, pia amekuwa muigizaji pekee India kuingiza kiasi cha USD 29million,kupitia filamu zake,kwa mchĂ ngo wake katika industry ya Bollywood, serikali ya Indian ilimzawadia tunzo ya Outstanding Achievement in Entertainment-Rajiv Gandhi Awards;(2008)
Salman Khan ametaja na Forbes global list,kuwa ni muigizaji 7 kwa waigizaji wanaoingiza kiasi kikubwa kupitia movies,katika list hiyo kawapita waigizaji wengi wa Hollywood
.
Women's heart pattern T-shirt long sleeve crew neck tops Slimming round collar sleeveless Ruched solid color casual women's dress Chic geometrical print color block skinny leggings for women Stylish cowl neck long sleeve button design draped women's sweatshirt. Long sleeves lapel double- breasted beam waist voile stitching plicated ruffles long edition lady like women's coat. Casual artificial wool embellished hooded zipper and pocket design women's cotton coat. Fashionable off.The shoulder solid colour plus size 3/4, sleeve T-shirt for women Sexy black v-neck 3/4 sleeve bodycon cape dress for women






Maoni
Chapisha Maoni