Lupita Amondi Nyongo, amezaliwa March 1,1983,mwanadada uyu ni raia wa Kenya
Lupita Nyong'o ni actress,film director,model & music video director
Lupita alianza kuingua katika industry ya Hollywood kama production assistant, pia amewahi kucheza television series shuga(2009) ambayo ni drama inayohusu kuzuia kusambaa kwa HIV/AIDS, pia Lupita amewahi kudirect music video inayoitwa The Little things you do..by Wahu ft Bobi wire
Mnamo june 2015,Lupita alirudi nchini kenye na kutangaza kuwa kachaguliwa kuwa balozi wa utunza wa Tembo duniani na shirika la Wild Aid
Na pia shirika la Wild Aid likamtangaza Lupita Nyong'o kuwa ndio balozi wa tembo duniani
Pia Lupita amekuwa akitajwa kuwa ni The most Beautiful woman,na watu ,pia amewahi kutajwa kuwa "Woman of the year" by Glamour mwaka 2014
Films/movies alizocheza mwanadada Lupita Nyong'o ni..
East River;(2008)....
12year a slave;(2013)..
Non-stop;(2014)...
Star wars;-The force Awakens;(2015)
The jungle book;(2016)
The Queen of Katwe;(2016)...
Na movie ambayo bado inatengenezwa ila itatoka 2017..ya Star wars Episode VIII;(2017)
Tunzo alizowahi kupata Lupita Nyong'o ni ya Academy Award for Best supporting Actress, na kumfanya kuwa mwingiza wa kike mweusi wa 6 kushinda tunzo hio,na mwafrika wa kwanza kupata tunzi hio na mkenya qa kwanza kushinda an Oscar
Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...












Maoni
Chapisha Maoni