Lupita Amondi Nyongo, amezaliwa March 1,1983,mwanadada uyu ni raia wa Kenya Lupita Nyong'o ni actress,film director,model & music video director Lupita alianza kuingua katika industry ya Hollywood kama production assistant, pia amewahi kucheza television series shuga(2009) ambayo ni drama inayohusu kuzuia kusambaa kwa HIV/AIDS, pia Lupita amewahi kudirect music video inayoitwa The Little things you do..by Wahu ft Bobi wire Mnamo june 2015,Lupita alirudi nchini kenye na kutangaza kuwa kachaguliwa kuwa balozi wa utunza wa Tembo duniani na shirika la Wild Aid Na pia shirika la Wild Aid likamtangaza Lupita Nyong'o kuwa ndio balozi wa tembo duniani Pia Lupita amekuwa akitajwa kuwa ni The most Beautiful woman,na watu ,pia amewahi kutajwa kuwa "Woman of the year" by Glamour mwaka 2014 Films/movies alizocheza mwanadada Lupita Nyong'o ni.. East River;(2008).... 12year a slave;(2013).. Non-stop;(2014)... Star wars;-The force Awakens;(2015) The jungle book;(2016)...
★primogeniture★