Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU Leo ni... YVONNE NELSON.

  Yvonne Nelson, amezaliwa November 12,1985 Accra, Ghana, kazi zake ni muigizaji, model, mtayarishaji wa filamu na ni mjasiriamali pia
 Yvonne Nelson, alianza masomo yake katika shule ya St. Martin De Porres School, baadae alijiunga na shule ya Aggrey Memorial Senior High School, masomo ya elimu ya juu, alisoma katika chuo cha Central University College, ambako alipata degree ya Human Resource Management.
 Filamu alizoigiza Yvonne Nelson ni;
_Princes Tyra...
_Crime to christ...
_To Love and cherish...
_Tears of Womanhood...
_Passion of the soul...
_The playboy...
_Girls connection...
_Golden Adventure...
_Local sense...
_The Return of Beyonce...
_Festival of Love...
_The Black Taliban...
_Fantasia...
_Stregth of a Man...
_Love and crises...
_My Loving heart...
_Love war...
_The Prince's Bride...
_Heart of Men...
_Save The Last Kiss...
_The Game
_Material Girl...
_Deadly passion...
_The Queen's pride...
_Desperate to survive...
_Blood is Thick...
_Yvonne's Tears...
_The Mistresses...
_One Night in vegas...
_Deadly plot...
_Threesome...
_Losing you...
_Pool party...
_Trapped in the Game...
_Crime suspect...
_My cash Adventure...
_Save my Love...
_4 Play Reloaded...
_Doctor May...
_Diary of a player...
_Plan B...
_Obsession
_Who Am I...
_Gold Diggin
_Single and Married (2012)...
_Single, Married and Complicated...
_The Price...
_House of Gold...
_Forbidden fruit...
_If Tomorrow Never Comes....
_Folly...
_Classic Love...
_Any other monday...
_In April
Tunzo za Yvonne Nelson, amewahi shinda tunzo ya Best Picture, kwenye Ghana Movie Award and Best Ghanaian Movie in Nigeria , 2013 City people Awards.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni zamu ya HRITHIK ROSHAN

Hrithik roshan,amezaliwa 10january,1974.uko Mumbai,Maharashtra,India. Hrithik roshan ni muigiza maarufu na mwenye mafanikio katika industry ya Bollywood,pia amewahi kupata tunzo 6 za Filmfare awards,Roshan ametajwa na media mbalimbali za India kuwa ndio muigizaji mwenye mvuto zaidi Baada ya kutoa filamu/movies nyingi ambazo hazikuvuma sana,Roshan aliamua kucheza movie ya science fiction,aliyoipa jina la Koi-Mil Gaya;-(2003) Na muendelezo wake,alitoa series iliyoipa jina la Krrish;-(2006) Nje ya kazi ya kuigiza,Roshan pia ni stage performer na playback singer,pia ameendorse bidhaa mbalimbali ,ikiwa ni pamoja na kuhost reality show inayoitwa Just dance, na pia amelaunch nguo zake/brand yake Hrithik roshan, amesoma shule ya Bombay scoottish,na baadaye kujiunga na chuo kilichoitwa Sydenham college,ambako alipata bachelor degree in commerce Roshan ana vidole sita,katika mkono wake wa kulia,ingawa mara nyingi kwenye movie nyingi zake huwa haonyeshi,ila vimeonekana katika movie ya Krris...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU Leo ni... EMMA STONE.

  Emily Jean Stone, amezaliwa November 6,1988 Scottsdale, Arizona, U.S  Emma  Stone, ni mojawapo ya waigizaji wa kike waliolipwa hela nyingi 2015    Amewahi kuorodheshwa na Forbes celebrity 100, mwaka 2013 na mara nyingi na media mbalimbali kama Talented actress of her generation.  Filamu zenye mafanikio alizoigiza Emma Stone ni; _Super bad (2007)... _Zombieland (2009)... _Easy A (2010)... _Crazy stupid, Love (2011)... _The help (2011)... _The Amazing Spider-Man (2012) _The Amazing SpiderMan2(2014) _Birdman (2014)... _La La Land (2016)...   Tunzo za Emma stone, amewahi shinda tunzo mbalimbali, zikiwemo; Academy Award, BAFTA Award, Golden ...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU...Leo ni SALMAN KHAN.

Abdul Rashid Salim Salman Khan,amezaliwa December 27,1965..uko Indore,Madhya pradesh,India. Salman Khan ni actor,film producer,Television, personality, model, philanthropist & singer Films au movies alizoigiza Salman Khan ni:- *Maine Pyar Kiya;(1989).... *Hum Aapke Hain Koun;(1994).... *Andaz Apna Apna;(1994).... *Karan Arjun;(1995).... *Khamoshi:The Musical;(1996).... *Hum Saath-Saath Hain;(1999).... *Hum Dil De chuke sanam;(1999).... *Chori Chori Chupke Chupke;(2001).... *Tere Naam;(2003).... *Wanted;(2009).... *Dabangg;(2010).... *Ready;(2011).... *Bodyguard; (2011) *Ek Tha Tiger;(2012).... *Dabangg 2;(2012).... *Kick;(2014).... *Bajrangi Bhaijaan;(2015).... *Prem Ratan Dhan Payo;(2015).. September 2015,magazeti mbalimbali ya uko India yalimtaja Salman Khan,kama muigiza mwenye mvuto zaidi Filamu tisa 9,kati ya filamu alizoigiza Salman Khan zimemuingizia kiasi cha USD 15 million, pia amekuwa muigizaji pekee India kuingiza kiasi cha USD 29million,kupitia filamu zake,kwa mchàn...