Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni MORGAN FREEMAN.

  Morgan Freeman, alizaliwa June 1,1937 uko Memphis, Tennessee, Marekani.
  Alianza kufahamika miaka ya 1990, baada ya kucheza mfululizo filamu zenye mafanikio katika soko la Hollywood
   Filamu alizoigiza Morgan Freeman ni -Brubaker (1980)......
-Marie (1985)......
-Street smart (1987)....
-Glory (1989).....
-Driving miss Daisy (1989)...
-Lean on Me (1989).....
-Johnny Handsome (1989)...
-Robin Hood; prince of thieves (1991)....
-Unforgiven (1992)....
-The Shawshank Redemption (1994)...
-Seven (1995)....
-Moll Flanders (1996).....
-Amistad (1997)......
-Kiss the Girls (1997)......
-Deep Impart (1998).....
-Nurse Betty (2000).....
-Along came a spider (2001)....
-The sum of All fears (2002)....
-High crimes (2002)....
-Bruce Almighty (2003)....
-Million Dollar Baby (2004)....
-An unfinished life (2005)....
-Batman Begins (2005)....
-Lucky Number Slevin (2006)....
-10 items or less (2006)....
-Evan Almighty (2007)....
-Gone, Baby, Gone (2007)...
-The Bucket lict (2007)...
-Feast of Love (2007)....
-Wanted (2008)....
-The Dark Knight (2008)...
-Invictus (2009)....
-Red (2010)...
-Dolphin Tale (2011)....
-The Dark knight rises (2012)....
-The magic of Belle Isle (2012)...
-Olympus has fallen (2013)...
-Oblivion (2013)....
-Now you see me (2013)....
-Last vegas (2013)....
-The Lego movie (2014)...
-Transcendence (2014)...
-Lucy (2014)....
-Dolphin Tale 2 (2014)...
-Momentum (2015).....
-Ted 2 (2015).....
-Now you see me 2 (2016) &
-London has fallen (2016)..
  Tunzo alizowahi pata Morgan Freeman ni hizi zifuatazo;
 Alishinda Academy Award 2005, kipengele cha Best supporting Actor, kwenye filamu ya Million Dollar Baby 2004, na pia alishinda tunzo ya Oscar kupitia filamu ya street smart (1987), Driving miss Daisy (1989), The Shawshank redemption (1994) na Invictus (2009)
 Pia amewahishinda Golden globe Award na Actor Guild Award.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni JACKIE CHAN.

Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU...Leo tunaye VIN DIESEL;

Mark Sinclair Vicent ndio jina halisi Vin Diesel,alizaliwa 18,Julai1967..New york city Ana mtoto wa kike anaitwa Pauline Movies alizoigiza Diesel ni *Awakenings:-1990 **Multifacial:-1994 **strays:-1997 **saving private Ryan:-1998 **The iron giant:-1999- kaweka sauti **Boiler room:-2000 **The Fast and the Furios:-2001 **xXx:-2002 **Dark fury:-2004 **The pacifer:-2005 **Find me guilty:-2006 **Fast five:-2011 **Fast & Furious 6:-2013 **Riddick:-2013 **Fast & Furious 7:-2015 **Last witch hunter -2015; ....Movie zinazo tarajiwa kutoka ni Fast & Furious 8 ambayo itatoka April 14,2017 na xXx nayo itatoka 2017 ..Gari anayoipenda ni Dodge charger upo katika fast & furious Tunzo alizopata;- 1-Online film critics society award-(1999)-movie;Saving private Ryan ..2-MTV movie awards-(2002)-movie;The fast and the furious ..3-spike video game award-2004-movie;The chronicles of Riddick ..4-Video software dealer association award-2005-movie;The chronicles of Riddick ..5-Cinemacon...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni zamu ya HRITHIK ROSHAN

Hrithik roshan,amezaliwa 10january,1974.uko Mumbai,Maharashtra,India. Hrithik roshan ni muigiza maarufu na mwenye mafanikio katika industry ya Bollywood,pia amewahi kupata tunzo 6 za Filmfare awards,Roshan ametajwa na media mbalimbali za India kuwa ndio muigizaji mwenye mvuto zaidi Baada ya kutoa filamu/movies nyingi ambazo hazikuvuma sana,Roshan aliamua kucheza movie ya science fiction,aliyoipa jina la Koi-Mil Gaya;-(2003) Na muendelezo wake,alitoa series iliyoipa jina la Krrish;-(2006) Nje ya kazi ya kuigiza,Roshan pia ni stage performer na playback singer,pia ameendorse bidhaa mbalimbali ,ikiwa ni pamoja na kuhost reality show inayoitwa Just dance, na pia amelaunch nguo zake/brand yake Hrithik roshan, amesoma shule ya Bombay scoottish,na baadaye kujiunga na chuo kilichoitwa Sydenham college,ambako alipata bachelor degree in commerce Roshan ana vidole sita,katika mkono wake wa kulia,ingawa mara nyingi kwenye movie nyingi zake huwa haonyeshi,ila vimeonekana katika movie ya Krris...