Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU...Leo ni GERARD BUTLER

  Gerard James Butler, alizaliwa 13 November,1969 uko Paisley scotland, UK
  Gerard butler ni mwigizaji aliyecheza na kuonekana katika filamu nyingi. Baada ya kumaliza masomo ya sheria, katikati ya mwaka 1990's ndio aliingia rasmi katika soko la filamu
  Filamu alizoigiza Gerard butler ni:
_Mrs Brown (1997)...
_Tale of the Mummy (1998)...
_Fast Food (1999)...
_One more kiss (1999)...
_Dracula 2000 (2000)...
_Attila (2001)...
_Harrison's Flowers (2001)...
_Shooters (2002)...
_Reign of Fire (2002)...
_Lara croft Tomb Raider; The cradle of Life (2003)...
_Timeline (2003)...
_The phantom of the Opera (2004)...
_Beowulf & Grendel (2005)...
_Dear Frankie (2005)...
_300 (2007)
_P.S I Love You (2007)...
_Butterfly on a wheel (2007)...
_Nim's Island (2008)...
_Rockn Rolla (2008)
_The ugly Truth (2009)...
_Gamer (2009)...
_Law abiding citizen (2009)...
_The Bounty Hunter (2010)...
_How to Train your Dragon (2010)..
_Coriolanus (2011)...
_Machine Gun Preacher (2011)...
_Chasing Mavericks (2012)...
_Playing for Keeps (2012)...
_Olympus has Fallen (2013)...
_How to Train your Dragon 2 (2014)
_Gods of Egypt (2016)
_London has Fallen (2016)
_The Head hunter's Calling (2016)...
_Geostorm (2017)...
_Hunter Killer (2017)
_Keepers (2017) &
_Angel has Fallen  ambayo itatoka 2018.

  Tunzo za Gerard Butler, ametajwa (nomination) na kushinda katika tunzo mbali mbali, 2007 alishinda MTV Movie Awards, katika kipengele cha Best Fight kupitia filamu ya 300, na pia 2016 alishinda tunzo ya Goldene Kamera kipengele cha Schaucpieler international (best international actor)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FASHION;WOMEN'S WEAR

Women's heart pattern T-shirt long sleeve crew neck tops Slimming round collar sleeveless Ruched solid color casual women's dress Chic geometrical print color block skinny leggings for women Stylish cowl neck long sleeve button design draped women's sweatshirt. Long sleeves lapel double- breasted beam waist voile stitching plicated ruffles long edition lady like women's coat. Casual artificial wool embellished hooded zipper and pocket design women's cotton coat. Fashionable off.The shoulder solid colour plus size 3/4, sleeve T-shirt for women Sexy black v-neck 3/4 sleeve bodycon cape dress for women

TAKE CARE OF YOURSELF FOR BETTER FUTURE

  There's an all too common misconception that has insidiously speeded it's way into the collective belief system; Taking care of yourself is selfish. I hear it from clients all the time and I even used to feel that way too!   Here's a little secret to being a better,more powerful person; Put yourself first.   What was your reaction upon reading that last sentence? Did a bit of anxiety present itself?Did you think I was crazy or that such a notion is just utterly selfish?   Well,I invite you,just for a moment, to hear me out on this one as a nutritionist and yoga teacher ,I make it my mission to empower others to transform their lives and this staits by placing themselves on top of their priority list.   Here are four samples reasons why taking care of yourself makes you a better person:-   1. Only you can identify and meet your needs.   No one is going to do it for you and no one can help you if you don't know what you need help with! If bein ...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni JACKIE CHAN.

Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...