Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2017

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU Leo ni... EMMA STONE.

  Emily Jean Stone, amezaliwa November 6,1988 Scottsdale, Arizona, U.S  Emma  Stone, ni mojawapo ya waigizaji wa kike waliolipwa hela nyingi 2015    Amewahi kuorodheshwa na Forbes celebrity 100, mwaka 2013 na mara nyingi na media mbalimbali kama Talented actress of her generation.  Filamu zenye mafanikio alizoigiza Emma Stone ni; _Super bad (2007)... _Zombieland (2009)... _Easy A (2010)... _Crazy stupid, Love (2011)... _The help (2011)... _The Amazing Spider-Man (2012) _The Amazing SpiderMan2(2014) _Birdman (2014)... _La La Land (2016)...   Tunzo za Emma stone, amewahi shinda tunzo mbalimbali, zikiwemo; Academy Award, BAFTA Award, Golden ...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU Leo ni... YVONNE NELSON.

  Yvonne Nelson, amezaliwa November 12,1985 Accra, Ghana, kazi zake ni muigizaji, model, mtayarishaji wa filamu na ni mjasiriamali pia  Yvonne Nelson, alianza masomo yake katika shule ya St. Martin De Porres School, baadae alijiunga na shule ya Aggrey Memorial Senior High School, masomo ya elimu ya juu, alisoma katika chuo cha Central University College, ambako alipata degree ya Human Resource Management.  Filamu alizoigiza Yvonne Nelson ni; _Princes Tyra... _Crime to christ... _To Love and cherish... _Tears of Womanhood... _Passion of the soul... _The playboy... _Girls connection... _Golden Adventure... _Local sense... _The Return of Beyonce.....

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU...Leo ni GERARD BUTLER

  Gerard James Butler, alizaliwa 13 November,1969 uko Paisley scotland, UK   Gerard butler ni mwigizaji aliyecheza na kuonekana katika filamu nyingi. Baada ya kumaliza masomo ya sheria, katikati ya mwaka 1990's ndio aliingia rasmi katika soko la filamu   Filamu alizoigiza Gerard butler ni: _Mrs Brown (1997)... _Tale of the Mummy (1998)... _Fast Food (1999)... _One more kiss (1999)... _Dracula 2000 (2000)... _Attila (2001)... _Harrison's Flowers (2001)... _Shooters (2002)... _Reign of Fire (2002)... _Lara croft Tomb Raider; The cradle of Life (2003)... _Timeline (2003)... _The phantom of the Opera (2004)... _Beowulf & Grendel (2005)... _Dear Frankie (2005)... _300 (2007) _P.S I Love You (2007)... _Butterfly on a wheel (2007)... _Nim's Island (2008)... _Rockn Rolla (2008) _The ugly Truth (2009)... _Gamer (2009)... _Law abiding citizen (2009)... _The Bounty Hunter (2010)... _How to Train your Dragon (2010).. _Coriolanus (2011)... _Mac...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni MORGAN FREEMAN.

  Morgan Freeman, alizaliwa June 1,1937 uko Memphis, Tennessee, Marekani.   Alianza kufahamika miaka ya 1990, baada ya kucheza mfululizo filamu zenye mafanikio katika soko la Hollywood    Filamu alizoigiza Morgan Freeman ni -Brubaker (1980)...... -Marie (1985)...... -Street smart (1987).... -Glory (1989)..... -Driving miss Daisy (1989)... -Lean on Me (1989)..... -Johnny Handsome (1989)... -Robin Hood; prince of thieves (1991).... -Unforgiven (1992).... -The Shawshank Redemption (1994)... -Seven (1995).... -Moll Flanders (1996)..... -Amistad (1997)...... -Kiss the Girls (1997)...... -Deep Impart (1998)..... -Nurse Betty (2000)..... -Along came a spider (2001).... -The sum of All fears (2002).... -H...