Onika Tanya Maraj ndio jina halisi la Nicki Minaj ,amezaliwa December8,1982 uko Saint James,Trinidad and Tobago
Kazi za Nicki Minaj ni rapper,singer na songwriter.. Minaj alipata public attention baada ya kutoa mixtapes tatu (3) katikati ya mwaka 2007-2009
Nicki Minaj ni rapper wa kwanza wa kike kuwa included kwenye MTv Annual Hottest MC list..editor Brent staples kutoka New York Times alisema kuwa Minaj ndio "The most influential female rapper of all time"
Style yake ya kurapp ya Nicki ni tofauti kwasababu anatumia altet egos,accents na fast flow..Nick Minaj anajulikana kwa costumes,cosmetics na wig anazopenda kuvaa
Nicki Minaj aliwahi kuwataja wasanii wanaomuinfluence kuwa ni Madonna,Beyonce,Marilyn monroe,Grace Jones,Smokey Robinson,Lauryn Hill,Lil wayne,Jadakies,Natasha Bedingfield,Lil wayne,Jadakies,Natasha Bedingfield,Lil kim,Missy Elliott and Cyndi Lauper
Albums za Nicki Minaj ni Pink Friday;-(2010)..Pink Friday;Roman Reloaded;-(2012)..The pink print;-(2014)
Nicki Minaj ameshinda tunzo sita za American Music Awards,tunzo kumi za BET Awards,tunzo tatu za MTV Video music awards na tunzo nne za Billboard Music Awards
Mnamo mwaka 2015; kwenye BET Awards,Minaj alishinda tunzo sita za Best female Hip-Hop artist,na kuwa rapper wa kwanza wa kike kushinda tunzo nyingi katika hiyo category
Nicki Minaj alianza kudate na Meek Mill mwanzoni mwa mwaka 2015..
Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...









Maoni
Chapisha Maoni