Kendrick Lamar Duckworth, amezaliwa June17,1987 Compton,california,US
Kazi za Kendrick Lamar ni; songwriter & rapper..pia katika mwaka 2013, MTV walitaja kuwa lamar ni NO 1,Hottest male rapper katika muziki,kwenye ripoti yao ya mwaka
Kendrick aliwata Tupac Shakur,The Notorious BIG,Jay Z,Nas na Eminem kuwa ndio top 5 ya marapper anaowakubali..
Pia kendrick amekuwa akivitiwa sana na hayati rapper Tupac Shakur jinsi alikuwa ikifanya mziki hata maisha yake binafsi
Kendrick Lamar kazi zake nyingi zimekuwa na ujumbe anaotaka kufikisha kwa jamii, kama album yake ya To pimp a Butterfly, ameiunda kwa ustadi mkubwa kwa kutumia styles mbalimbali za funk,free jazz,soul na spoken word poetry
Albums za Kendrick Lamar ni;..
Section80;-(2011)...good kid,m.A.Ad city;-(2012)...To pimp a Butterfly;-(2015)
March4,2016 Kendrick alitoa album iitwayo "Untittled unmastered"
To pimp a butterfly ni album kubwa aliyoambata na videos za King kunta,Alright & these walls
Kendrick lamar ameshinda tunzo saba za Grammy awards
Kendrick amevunja record ya Eminem na kuwa wa pili nyuma ya Micheal Jackson,kuwa msanii mwenye nominations nyingi katika usiku mmoja wa utoaji tunzo
Chan kong-sang ndio jina halisi la Jackie Chan ,amezaliwa April 7,1954 uko Victoria Peak,British Hong Kong. Kazi za Jackie Chan ni Actor,martial artist,director,producer,screenwriter,action,Choreographer, singer,stunt director, & stunt performer. Jackie Chan anajulika sana kwa staili zake za kupigama(acrobatic fighting style) na kwa kitumia dhana mbalimbali katika kupigana,ambapo matukio mengi ya kupigana huwa anafanya mwenyewe. Jackie Chan amefuzu katika mafunzo ya kung fu & wing chun,ameanza kuigiza/kucheza filamu toka mwaka 1960,ambapo mpaka sasa kacheza filamu 150. Forbes magazine,yamekadiria utajili wa Jackie Chan kuwa ni $350 million.. Nyota ya Jackie Chan, kwenye Hollywood Walk of Fame.. Movies za Jackie Chan ni hizi;-Hand of Death;(1976)....Snake in the Eagle's Shadow;(1978)....The Big Brawl;(1980)....The Protector;(1985).... The young Master;(1980)....Dragon Lord;(1982)....Project A;(1985)....Police story;(1985)....Armour of God;(1987)... Police story 2;(198...










Maoni
Chapisha Maoni