Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU;Leo ni SCARLETT JOHANSSON

Scarlett Johansson,amezaliwa November22,1984 New York city,US
Kazi zake ni Actress,singer & model,Scarlett alianza kuigiza toka akiwa bado mdogo,ambapo mama yake alimpeleka kwenye audition
Scarlett ametajwa na majarida mbalimbali kuwa ndiye "Sexiest women in the world"
Pia scarlett ametajwa mara mbili na Esquire magazine mwaka 2006 & 2013,kuwa ni "Sexiest woman Alive"..pia na Playboy magazine mwaka 2007 kuwa ni "Sexiest celebrity"
Movie's alizocheza Scarlett Johansson ni;- North-(1994)...Just cause-(1995).... If Lucy fell-(1996)...Manny & Lo-(1996)...Fall-(1997)...Home Alone3-(1997)...The horse whisperer-(1998)... My brother the pig-(1999)..The Man who wasn't There-(2001)...Ghost world-(2001)...An American Rhapsody-(2001).. Eight Legged Freaks-(2002)...Lost in translation-(2003)...Girl with a Pearl Earring-(2003)...The perfect score-(2004)...A love song for Bobby Long-(2004)...A Good woman-(2004)...The sponge Bob square pants movie-(2004).. In Good Company-(2004)...Match point-(2005)...The Island-(2005)...Scoop-(2006)...The Black Dahlia-(2006)... The prestige-(2006)...The Nanny Diaries-(2007)...The other Boleyngirl-(2008)...Vick cristina Barcelona-(2008)...The sprit-(2008)...He's Just Not that into you-(2009)..Iron man2-(2010)..we bought a zoo-(201¹)The avengers-(2012)
Hitchcock-(2013)..Captain America-(2014)..Lucy-(2014)
Avengers;age of ultron-(2015)
Captain America;civil war-(2016)...na Ghost in the shell ambayo itatoka 2017

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU..Leo ni zamu ya HRITHIK ROSHAN

Hrithik roshan,amezaliwa 10january,1974.uko Mumbai,Maharashtra,India. Hrithik roshan ni muigiza maarufu na mwenye mafanikio katika industry ya Bollywood,pia amewahi kupata tunzo 6 za Filmfare awards,Roshan ametajwa na media mbalimbali za India kuwa ndio muigizaji mwenye mvuto zaidi Baada ya kutoa filamu/movies nyingi ambazo hazikuvuma sana,Roshan aliamua kucheza movie ya science fiction,aliyoipa jina la Koi-Mil Gaya;-(2003) Na muendelezo wake,alitoa series iliyoipa jina la Krrish;-(2006) Nje ya kazi ya kuigiza,Roshan pia ni stage performer na playback singer,pia ameendorse bidhaa mbalimbali ,ikiwa ni pamoja na kuhost reality show inayoitwa Just dance, na pia amelaunch nguo zake/brand yake Hrithik roshan, amesoma shule ya Bombay scoottish,na baadaye kujiunga na chuo kilichoitwa Sydenham college,ambako alipata bachelor degree in commerce Roshan ana vidole sita,katika mkono wake wa kulia,ingawa mara nyingi kwenye movie nyingi zake huwa haonyeshi,ila vimeonekana katika movie ya Krris...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU Leo ni... EMMA STONE.

  Emily Jean Stone, amezaliwa November 6,1988 Scottsdale, Arizona, U.S  Emma  Stone, ni mojawapo ya waigizaji wa kike waliolipwa hela nyingi 2015    Amewahi kuorodheshwa na Forbes celebrity 100, mwaka 2013 na mara nyingi na media mbalimbali kama Talented actress of her generation.  Filamu zenye mafanikio alizoigiza Emma Stone ni; _Super bad (2007)... _Zombieland (2009)... _Easy A (2010)... _Crazy stupid, Love (2011)... _The help (2011)... _The Amazing Spider-Man (2012) _The Amazing SpiderMan2(2014) _Birdman (2014)... _La La Land (2016)...   Tunzo za Emma stone, amewahi shinda tunzo mbalimbali, zikiwemo; Academy Award, BAFTA Award, Golden ...

WAJUE WATU MAARUFU KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU...Leo ni SALMAN KHAN.

Abdul Rashid Salim Salman Khan,amezaliwa December 27,1965..uko Indore,Madhya pradesh,India. Salman Khan ni actor,film producer,Television, personality, model, philanthropist & singer Films au movies alizoigiza Salman Khan ni:- *Maine Pyar Kiya;(1989).... *Hum Aapke Hain Koun;(1994).... *Andaz Apna Apna;(1994).... *Karan Arjun;(1995).... *Khamoshi:The Musical;(1996).... *Hum Saath-Saath Hain;(1999).... *Hum Dil De chuke sanam;(1999).... *Chori Chori Chupke Chupke;(2001).... *Tere Naam;(2003).... *Wanted;(2009).... *Dabangg;(2010).... *Ready;(2011).... *Bodyguard; (2011) *Ek Tha Tiger;(2012).... *Dabangg 2;(2012).... *Kick;(2014).... *Bajrangi Bhaijaan;(2015).... *Prem Ratan Dhan Payo;(2015).. September 2015,magazeti mbalimbali ya uko India yalimtaja Salman Khan,kama muigiza mwenye mvuto zaidi Filamu tisa 9,kati ya filamu alizoigiza Salman Khan zimemuingizia kiasi cha USD 15 million, pia amekuwa muigizaji pekee India kuingiza kiasi cha USD 29million,kupitia filamu zake,kwa mchĂ n...