Onika Tanya Maraj ndio jina halisi la Nicki Minaj ,amezaliwa December8,1982 uko Saint James,Trinidad and Tobago Kazi za Nicki Minaj ni rapper,singer na songwriter.. Minaj alipata public attention baada ya kutoa mixtapes tatu (3) katikati ya mwaka 2007-2009 Nicki Minaj ni rapper wa kwanza wa kike kuwa included kwenye MTv Annual Hottest MC list..editor Brent staples kutoka New York Times alisema kuwa Minaj ndio "The most influential female rapper of all time" Style yake ya kurapp ya Nicki ni tofauti kwasababu anatumia altet egos,accents na fast flow..Nick Minaj anajulikana kwa costumes,cosmetics na wig anazopenda kuvaa Nicki Minaj aliwahi kuwataja wasanii wanaomuinfluence kuwa ni Madonna,Beyonce,Marilyn monroe,Grace Jones,Smokey Robinson,Lauryn Hill,Lil wayne,Jadakies,Natasha Bedingfield,Lil wayne,Jadakies,Natasha Bedingfield,Lil kim,Missy Elliott and Cyndi Lauper Albums za Nicki Minaj ni Pink Friday;-(2010)..Pink Friday;Roman Reloaded;-(2012)..The pink print;-(2014) Ni...
★primogeniture★